Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Alyequm salam bro,,kwema?
Alyequm salam bro,,kwema?
Njia bora ya kuzuia virusi kwenye kompyuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani
Aisee,,jamaa kumbe alikuwa siriazi hiviJamaa kaweka mpaka namba za simu [emoji16][emoji16][emoji16]
HUYU APA - JamiiForums
Naona. Jamaa alitaka kujiripua aingie kwenye historia [emoji16][emoji16][emoji16]Wameufuta?
Hii ina ukweli wowote kuwa Suge alihusika kumuua huyu jamaa??Kijana wa watu ndo anaenda kuuliwa masikini. F*ck Suge Knight...
View attachment 1036843
HatareeNaona. Jamaa alitaka kujiripua aingie kwenye historia [emoji16][emoji16][emoji16]
Wenye nchi yao
12K inauma bro. Jamaa kaamua kujiripuaAisee,,jamaa kumbe alikuwa siriazi hivi
Shukrani ila mbona alisema huyo mary ni mwanaume saiv kaweka picha ya mwanamke imekuaje?au sikuelewa?
Anaona noma kutaja amaunti..12K inauma bro. Jamaa kaamua kujiripua
Mwenyewe haeleweki. Ila hiyo picha ni ya mtandaoni imetumiwa tu kumdanganyia. Naona yeye anaweka tu ushahidi alionao...Shukrani ila mbona alisema huyo mary ni mwanaume saiv kaweka picha ya mwanamke imekuaje?au sikuelewa?
Kalizwa mkwanja mrefu. Elfu 12 asingehangaika hivi. Si ajabu katuma nauli ya bombadia huyu [emoji16][emoji16][emoji16]Anaona noma kutaja amaunti..
Hahaha kabisaaaKalizwa mkwanja mrefu. Elfu 12 asingehangaika hivi. Si ajabu katuma nauli ya bombadia huyu [emoji16][emoji16][emoji16]