Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455923125_48442.jpeg
 
12K inauma bro. Jamaa kaamua kujiripua
Inauma sana,,humu kuna matapeli sana,,
Kuna jamaa alinipiga 5k,alikuja na story ya kukuunga na kifurushi cha internet,,kwa wk unapata gb13..hl tangazo aliliweka kule kwenye teknolojia na kwenye uzi flan hv wa series,,jamaa hadi leo hajaniunga hlo bando,,

Sema utapeli mwingine ni kujitia nuksi tu,,imagine km huyo aliyenipiga 5k au huyo wa 12k,,sasa hzo pesa atatumia kwa muda gani??akijibana sana anaweza tumia kwa siku moja then njaa inarud palepale,,

Utapeli wa namna yoyote ile ni kujitia nuksi,balaa na kujiongezea matatzo tu
 
Back
Top Bottom