Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Figisufigisu
20190302_210805.jpg
 
Wanaomlea huyu mtoto ni wapuuzi wangeenda msibani home moja kwa moja kuonanan na ndugu wa Ruge kisha mengine yakafuatia . sasa clouds inahusikaje na child support wakati ile sio mali ya ruge
Hapo ndo na mimi nashangaa.
Ila katika msafara wa mamba kenge nao pia wamo,usishangae kila kona wakaja watu na watoto wakidai ni wa ruge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisaaa watajitokeza wengi tu ila DNA itawaumbua balaa

Nimeshangaa leo nandy alikua upande wa wajane.
Na ameshindwa kuimba nyimbo pendwa ya marehemu.
Ila si kuna kipindi waja walikuwa wanasema boss alikuwa anaji sevia pale?
Unakumbuka ile stor ya nandy kuonekana na boss serengeti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom