Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na ameshindwa kuimba nyimbo pendwa ya marehemu.
Ila si kuna kipindi waja walikuwa wanasema boss alikuwa anaji sevia pale?
Unakumbuka ile stor ya nandy kuonekana na boss serengeti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ule wimbo si wangempa mhusika akaimba. Inasemekana walienda mbuga mbili sasa najiuliza kipind cha machupi walikua wameachana au ? Na hizi bata za siku hizi sponsor marehemu au joho?
 
Ule wimbo si wangempa mhusika akaimba. Inasemekana walienda mbuga mbili sasa najiuliza kipind cha machupi walikua wameachana au ? Na hizi bata za siku hizi sponsor marehemu au joho?
Si walikuwa wanasema jamaa ni wale wazee wa low key?anawala kimya kimya?
Yawezekana yote yakawa sawa(kuachana ama kuwa pamoja).


Sent using Jamii Forums mobile app
 
53723015_171122173871433_6307811868114346289_n.jpg
 
Waja wanasingizia hata mimba ya ruby.

Ray c kajituliza zake huku akilia na kujipostia insta

Maisha haya ni shiida
Watu wanalia na mengi acha tu.
Hivi dina kapost chochote kuhusu msiba?
Maana na yeye yumo katika list.

Nimewaona waja mnatiririka uzi wa msiba kule[emoji1][emoji1]hadi sio vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanalia na mengi acha tu.
Hivi dina kapost chochote kuhusu msiba?
Maana na yeye yumo katika list.

Nimewaona waja mnatiririka uzi wa msiba kule[emoji1][emoji1]hadi sio vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jana tumekula ubuyu wa kutosha

Dina sijamfatilia hata msibani sijaona picha zake
 
Back
Top Bottom