Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutafuta urais wa Kenya kwa mtu wa kabila lingine asiye Mkikuyu ni kupoteza muda.
Waache waendelee na ukabila wao.
Ndiyo maana hata hapa Bongo vyama vyenye mlengo wa kikanda vitapata wakati mgumu maana watanzania wanafurahia umoja walionao
Urais huyu ataishia kuusikia tu kama Lowassa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
liesllaurie___BnHDXOqgWoR___.jpg
 
View attachment 1035883
Ruge Mutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.

Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
Watoto wa ruge wamefanana hadi sio poa.
Halafu sikujua kama ako na mtoto mkubwa hivi Mungu awape moyo wa ujasiri kwakweli kuondokewa na mzazi mmh!sikia kwa jirani tu....

Ila wanamazengo washaanza yao kabla hata jamaa hajazikwa
20190302_205635.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom