Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inauma sana,,humu kuna matapeli sana,,
Kuna jamaa alinipiga 5k,alikuja na story ya kukuunga na kifurushi cha internet,,kwa wk unapata gb13..hl tangazo aliliweka kule kwenye teknolojia na kwenye uzi flan hv wa series,,jamaa hadi leo hajaniunga hlo bando,,

Sema utapeli mwingine ni kujitia nuksi tu,,imagine km huyo aliyenipiga 5k au huyo wa 12k,,sasa hzo pesa atatumia kwa muda gani??akijibana sana anaweza tumia kwa siku moja then njaa inarud palepale,,

Utapeli wa namna yoyote ile ni kujitia nuksi,balaa na kujiongezea matatzo tu
Kumbe na wewe ulishalizwa? Pole sana bro...

Hizo hela zinaonekana kidogo lakini akiwapiga watu 30 si analipia rent. Huyo Mary555 na hizo picha za mtandaoni nzuri lazima atakuwa kaliza wengi tu.

Usirudie tena kuamini watu wa mitandaoni humu hata katika uzi huu !!!
 
Young Killer
FB_IMG_1551618715937.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣 Pole lakini.. GB 13!!!
 
Kumbe na wewe ulishalizwa? Pole sana bro...

Hizo hela zinaonekana kidogo lakini akiwapiga watu 30 si analipia rent. Huyo Mary555 na hizo picha za mtandaoni nzuri lazima atakuwa kaliza wengi tu.

Usirudie tena kuamini watu wa mitandaoni humu hata katika uzi huu !!!
Jameniii.. humu atutrasti tu! hamna tapeli wa fweza... labda wa mapenzi
 
Tunawachezea sana.
Yegomasika njoo utoe ushuhuda kuhusu pale Kisutu na mtaa wa Kiungani Kidongo chekundu.
Nawe mzee wa Tukuyu uje utoe ushuhuda kuhusu TMK pale mtaa wa Mtoni, mtaa wa Leo, mtaa wa Mitaja nk.
Nshomile acheni mambo hayo habari zenu tunazo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Nshomile bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1036848

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe na wewe ulishalizwa? Pole sana bro...

Hizo hela zinaonekana kidogo lakini akiwapiga watu 30 si analipia rent. Huyo Mary555 na hizo picha za mtandaoni nzuri lazima atakuwa kaliza wengi tu.

Usirudie tena kuamini watu wa mitandaoni humu hata katika uzi huu !!!
Yap,,nililizwa,bt jamaa nilijua amenizima nikampotezea kuna siku nikamkuta kwenye lile jukwaa alikotangazia biashara yake,,nikamwambia hlo bando bado lipo njian,,kumbe kuna raia pia walishamsoma,ilibd apige kimya huwa namuona nyuz mbalmbal na yy anakemea utapel wa humu,,

Nilishajifunza bro,asante

Ukistajabu ya Musa ya Filauni hutayaona
 
Back
Top Bottom