Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Hataree mitandao hii..Ukizubaa unalizwa tu enewhea...
Don't drop your guard...
Hataree mitandao hii..Ukizubaa unalizwa tu enewhea...
Don't drop your guard...
Inasemekana kapigwa nauli ya bombadia [emoji16][emoji16][emoji16]Anasema amepigwa Alf 12, lakini kwa jinsi anavyolalama huenda amepigwa mpunga wa maana[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si useme masikolo tu ieleweke...
Usiniharibie wikiendi yangu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Na huo utapeli wa mapenzi ndo upi?Hataree mitandao hii..
Mashikolo mageni....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
But..Do they follow? huwa wanaflip clockwise
Hahahahaha, jamaa anaweweseka.Kalizwa mkwanja mrefu. Elfu 12 asingehangaika hivi. Si ajabu katuma nauli ya bombadia huyu [emoji16][emoji16][emoji16]
Wakizidiwa na utamu everything goes out of the windowBut..Do they follow? huwa wanaflip clockwise
Hahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]baki hapahapa ushuhidie udambwi dambwi uliomo ndani ya Uzi wetu[emoji16][emoji16]Haondoki mtu kwenye huu uzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1036901
Huyu jamaa naye vipi, mbona midoli ya watu kaishika sehemu mbaya?[emoji16][emoji16]
msuku huyoHuyu jamaa naye vipi, mbona midoli ya watu kaishika sehemu mbaya?[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naamini hapa Jf wanatapeliwa wengi tu ni vile tu kwamba wengine kujiweka hadharani wanaona aibuInauma sana,,humu kuna matapeli sana,,
Kuna jamaa alinipiga 5k,alikuja na story ya kukuunga na kifurushi cha internet,,kwa wk unapata gb13..hl tangazo aliliweka kule kwenye teknolojia na kwenye uzi flan hv wa series,,jamaa hadi leo hajaniunga hlo bando,,
Sema utapeli mwingine ni kujitia nuksi tu,,imagine km huyo aliyenipiga 5k au huyo wa 12k,,sasa hzo pesa atatumia kwa muda gani??akijibana sana anaweza tumia kwa siku moja then njaa inarud palepale,,
Utapeli wa namna yoyote ile ni kujitia nuksi,balaa na kujiongezea matatzo tu
Pole kwa kupigwa 5k,Inauma sana,,humu kuna matapeli sana,,