moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mi naamini hapa Jf wanatapeliwa wengi tu ni vile tu kwamba wengine kujiweka hadharani wanaona aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabsa
Muweke wazi ili asiwapate wengineYap,,nililizwa,bt jamaa nilijua amenizima nikampotezea kuna siku nikamkuta kwenye lile jukwaa alikotangazia biashara yake,,nikamwambia hlo bando bado lipo njian,,kumbe kuna raia pia walishamsoma,ilibd apige kimya huwa namuona nyuz mbalmbal na yy anakemea utapel wa humu,,
Nilishajifunza bro,asante
Ukistajabu ya Musa ya Filauni hutayaona
Huyo atakua ni kajole tu naona wanamlalamikia hukoInauma sana,,humu kuna matapeli sana,,
Kuna jamaa alinipiga 5k,alikuja na story ya kukuunga na kifurushi cha internet,,kwa wk unapata gb13..hl tangazo aliliweka kule kwenye teknolojia na kwenye uzi flan hv wa series,,jamaa hadi leo hajaniunga hlo bando,,
Sema utapeli mwingine ni kujitia nuksi tu,,imagine km huyo aliyenipiga 5k au huyo wa 12k,,sasa hzo pesa atatumia kwa muda gani??akijibana sana anaweza tumia kwa siku moja then njaa inarud palepale,,
Utapeli wa namna yoyote ile ni kujitia nuksi,balaa na kujiongezea matatzo tu
Penzi la mtandaoni litawagharimu vijana wengi.Inasemekana kapigwa nauli ya bombadia [emoji16][emoji16][emoji16]