myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku wa kupeana raha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16]"Liverpool tumechanganywa na msiba wa boss Ruge. Mtuache kwanza "
Umefafanua vizuri. Wengi hawajui kuwa hii ni biashara...Wanasema "Kelele za chura hazitamzuia Tembo kunywa maji"
Jamiiforum ni chombo cha habari kinachotegemea matangazo ili kijiendeshe, thread hizo pamoja ni hii yetu zinavuta watu wengi na hiyo huwavutia watangazaji kuweka matangazo yao.
Tabiri za aina hiyo zilikuwepo tangu uchanga wa uzi huu, lakini mwaka na miezi kadhaa sasa Uzi una-survive.
Gonga likes ili twende sawa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mara ya mwisho nasikia alikuwa Kenya na afya yake haikuwa nzuri. Nadhani kuna wadau waliiomba serikali kufuatilia lakini serikali ikasema kuwa haina taarifa na haijui kama alikuwa Kenya kimatibabu au alikwenda kutumbuiza. Naye wanalalamika kuwa amedhulumiwa sana na meneja wake japo nadhani alifanya kosa akaonja ule unga mweupe wa laanaWakuu taarifa zake zikoje huyu mama hasa kutokana na tatizo lake is kiafya?View attachment 1037202
Sent using Jamii Forums mobile app
Keshaimaliza safari yake huyo. Nasi tujiandae tu kwa sababu hakuna namna. Je, tutaacha lolote la heri katika sayari hii nzuri iliyojaliwa kila kitu? Tutakumbukwaje?Hapa ndipo ambapo mwili wa mpendwa wetu, Ruge Mutahaba utapumzishwa kwenye makazi yake ya milele, Kijijini kwao Kiziru-Kabale, Bukoba, kesho Jumatatu.View attachment 1037195