Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umefafanua vizuri. Wengi hawajui kuwa hii ni biashara...
 
Wakuu taarifa zake zikoje huyu mama hasa kutokana na tatizo lake is kiafya?View attachment 1037202

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara ya mwisho nasikia alikuwa Kenya na afya yake haikuwa nzuri. Nadhani kuna wadau waliiomba serikali kufuatilia lakini serikali ikasema kuwa haina taarifa na haijui kama alikuwa Kenya kimatibabu au alikwenda kutumbuiza. Naye wanalalamika kuwa amedhulumiwa sana na meneja wake japo nadhani alifanya kosa akaonja ule unga mweupe wa laana
 
Hapa ndipo ambapo mwili wa mpendwa wetu, Ruge Mutahaba utapumzishwa kwenye makazi yake ya milele, Kijijini kwao Kiziru-Kabale, Bukoba, kesho Jumatatu.View attachment 1037195
Keshaimaliza safari yake huyo. Nasi tujiandae tu kwa sababu hakuna namna. Je, tutaacha lolote la heri katika sayari hii nzuri iliyojaliwa kila kitu? Tutakumbukwaje?
 
neno dawa siyo mara yako ya kwanza kulisikia, na pindi ulisikiapo tayari kuna picha inayojengeka akilini mwako kuhusu neno au kitu hiki. Dawa ni kitu chochote ambacho asili yake yaweza kuwa ni wanyama, mimea au chembechembe maalumu ambazo zimeandaliwa kitaalamu/kisayansi kwa matumizi ya kuzuia magonjwa, kutibu magonjwa, kuwezesha vipimo mbalimbali vya magonjwa kufanyika au pia kubadilisha mfumo wa utendaji kazi katika mwili. Hiyo ndiyo maana ya dawa.
 
Kabla ya kuanza matumizi ya dawa, ni vyema kufahamu ni wakati gani mtu anahitajika kutumia dawa. Katika hali ya kawaida hakuna mtu anayependa atumie dawa. Ila katika hili huwa mtu kimsingi analinganisha faida na hasara za kutumia au kutokutumia dawa pindi afya yake inapokuwa siyo imara.
 
Mfano ni faida zipi utapata endapo utaitumia dawa?, ni hasara zipi utapata endapo utaamua kutokutumia dawa?. Baada ya kujiridhisha katika majibu ya baadhi ya maswali kama hayo, ndipo inafika tamati kwamba utumie au usitumie dawa
 
Pamoja na kujiridhisha katika majibu ya maswali hayo, bado kuna haja ya kufahamu kuwa dawa itatumika tu endapo mtumiaji kulingana na hitaji lake kiafya atatakiwa kutumia ili atatue moja ya mambo yafuatayo ikiwemo, kutumia kwa lengo la kuzuia ugonjwa au kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na ugonjwa fulani, mfano hivi karibuni serikali pamoja na wataalamu wa afya wamekuwa wakielimisha jamii kuhusu matumizi ya dawa aina ya SP (Sulphadoxine/Pyrimethamine) ambayo matumizi yake ni kwa lengo la kuzuia madhara yanayoweza kusababishwa na malaria kwa mama mjamzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…