Baada ya kufunga, alichukua kamera kutoka kwa mpigapicha aliyekuwa nyuma ya goli kabla ya kupiga picha hiyo ya video akiwa na wachezaji wenzake waliokuwa wakicheka na baadaye kuituma katika akaunti yake ya Instagram.
Marseille ilishinda mechi hiyo dhidi ya timu inayoshika nafasi ya nne ya Saint-Etienne kwa mabao 2-0 kwenye uwanja wa Stade Velodrome baada ya penati iliyopigwa na Thauvin.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Asante Mungu kwa kunibariki namna hii na kunipa huyu binti mwema, msomi, mchapakazi na asiye na makuu [emoji7][emoji7][emoji7]