Hahahaha hiii window inakela kinoma yaana naogop kuweka mordem au kuwasha wifi inapuliza bando
Kwa pesa kidogo, ama umri??Inter Milan ina hamu ya kumsajili beki wa kulia wa Manchester United Matteo Darmian, mwenye umri wa miaka 29, kwa kitita cha £9.5m. (Football Italia)
Nadhan wana kadharau kiaina na kuona kiwango alichonacho ni cha pesa hio.Kwa pesa kidogo, ama umri??
Picha ina swali nyingi sana!!
Nadhan wana kadharau kiaina na kuona kiwango alichonacho ni cha pesa hio.