Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pia watu huhifadhi miswaki yao ndani ya bafu au (washrooms), pindi unapo fanya usafi wadudu (bacterias) husambaa hewani na kubaki katika mswaki. Kwa nini vyombo tunavyotumia kuandaa vyakula au vinywaji, sahani au glasi hatuvihifadhi chooni/bafuni lakini mswaki tunao utumia kinywani tunauhifadhi chooni/bafuni?