Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mikorogo hii hata kuna anayejua madhara yake huko uzeeni basi? Si ajabu kimedondoka...ha! icho kidole cha nne kimekatika au macho yangu bado yana stress
Imebidi niirudie picha naona ni swaga zile za kifreemasonha! icho kidole cha nne kimekatika au macho yangu bado yana stress
Oh Jizazi...Bro bro wanawake sie viumbe vya ajabu. Inauma balaa basi tu kupenda urembo na kufuata mikumbo.
Just imagine kuna wanaoweka nyanya kwenye nunu eti itabana na kuwa na joto joto aiseee
HahahHahahahhahaha eti kimedondoka naona ni pozi tu ila kidole kama kipoMikorogo hii hata kuna anayejua madhara yake huko uzeeni basi? Si ajabu kimedondoka...
Mkuu, Sapeuse ni nini?View attachment 1040324
Michelle shelters from the intense heat in her trilby. The 32-year-old has been a Sapeuse for six years. She has one child and works at the agricultural ministry.
Acha kabisa kuna vitu vingi aweka humo ni shida.Oh Jizazi...
Nyanya?
Kuna mmoja alinieleza jinsi limbwata la Kitanga linavyofanyika. Nilichoka aisee...
Mh leo tusiokuwa Man U tunalaiki wapi..
Ngoja chereko na nderemo ziishe ntarudi
πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Kabisa..uko poa ?Arsenal will do because gunners will beat them this Sunday 2-1 πππ