Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😛😛😛 upo sahihi mkuu.
umenikumbusha kauli ya bwana yule aliposema katiba mpya si kipaombele chake.
inaonekana wakongomani wanapenda sana fashion
Na maisha ni vipaumbele. Kila mtu na vya kwake kulingana na mazingira aliyomo, historia, utamaduni na hata mahitaji yake binafsi kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kisaikolojia. Kwa wakongoman wapenda muziki, kuvaa vizuri na swaga hili wala halishangazi....

Eti kwa nini Ruge kafa bila kuoa? Yawezekana kuoa hakikuwa kipaumbele chake...and that's life !!!
 
AJAX wameshanitia pressure, tatizo la timu kama zile uwekezaji wao mara nyingi wanaishia kuuza baadhi ya wachezaji wao nyota.
mfano mwengine ni borussia dortmund na benfica.
Hio hio ajax ina huo mtindo. Inakuza wachezaji matata kisha inauza mastaa karibia waote hali inakua mbaya balaa kisha wanaanza upya kujipanga na ilw timu aliyotimuliwa Thierry Henry
 
455216961_191400.jpeg
 
Na maisha ni vipaumbele. Kila mtu na vya kwake kulingana na mazingira aliyomo, historia, utamaduni na hata mahitaji yake binafsi kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kisaikolojia. Kwa wakongoman wapenda muziki, kuvaa vizuri na swaga hili wala halishangazi....

Eti kwa nini Ruge kafa bila kuoa? Yawezekana kuoa hakikuwa kipaumbele chake...and that's life !!!
Na mikorogo wakongo ni kiboko kama koffi olomide,bozi boziana na mmoja jina limenitoka huyu kajikoboa balaa
 
Poleni sana ndugu na jamaa Familia ya Clouds na wote. najua mnapitia mapito makubwa sana [emoji24] siku ya kupokea mwili pale airport mpiga picha wa Clouds alikanyagwa na gari na kuvunjika mguu[emoji24], jana gari ya production ikitokea Bukoba ilipata ajali na kujeruhi kadhaa asubuhi ya leo Kibonde umetangulia[emoji24][emoji24] poleni sana [emoji22] [emoji22].
 
Rais wa Real Florentino Perez anaangalia uwezekano wa kumfuta kazi meneja Santiago Solari mara moja baada ya timu hiyo ya Ligi ya Championi kufungwa na Ajax Jumanne, lakini anahisi kwamba hakuna uwezo wa kuongoza kwa kipindi kilichobaki cha msimu. (Marca)
 

huu ndio utakuwa wimbo wangu wa kwanza wa kiingereza kwa kipindi cha miaka takribani 3.
nimeupenda sana.
ahsante sana
ngoja niconvert hii video to mp4 or mp3.

Bless the Lord Oh My Soul
Oh my soul,
Worship His holy name.
Sing like never before
Oh my soul
I worship Your holy name.
The sun comes up
Its a new day dawning
It's time to sing your song again.
Whatever may pass and
Whatever lies before me
Let me be singing when the evening comes.
So Bless the Lord Oh my soul,
Oh my soul.
Worship His holy name.
Sing like never before
Oh my soul
I worship Your holy name.
You're rich in love and you're slow to anger.
Your name is great and your heart is kind.
For all your goodness I will keep on singing.
Ten thousand reasons for my heart to find.
Oh, to Bless the Lord oh my soul,
Oh my soul
Worship His holy name
Sing like never before
Oh my soul
I worship Your holy name.
And on that day when my strength is failing
The end…
 
Back
Top Bottom