Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7d3c5a99-8632-4e22-b464-36c35d29d0dc.jpeg
 
Bao la utangulizi la Lukaku liliipatia United matumaini na licha ya kwamba Juan Bernat wa PSG alilisawazisha, Lukaku alitinga tena bao jingine katika nusu ya kwanza ya mechi kabla ya Rashford kuifunga siku kwa ushindi wa mashetani hao wekundu.
 
Tatizo liko wapi kamanda? Acha watu wafurahie maisha. Running water pengine siyo kipaumbele chao. Na chakula nadhani wanakula vizuri tu kwa sababu wanang'ara kweli kweli...[emoji16][emoji16][emoji16]

Juzi juzi hapa nilifanya kazi na NGO moja. Wanakuja kuchimba visima vya maji vijijini Shinyanga, Singida na Manyara. Niliwaambia kwamba hakikisheni kwanza mnaongea na walengwa wa misaada yenu na msichukulie tu kuwa wanahitaji hayo mabomba yenu. Ni muhimu sana kuelewa utamaduni wa watu na historia yao kabla ya kuwahukumu na hata kukimbilia "kuwasaidia"
😛😛😛 upo sahihi mkuu.
umenikumbusha kauli ya bwana yule aliposema katiba mpya si kipaombele chake.
inaonekana wakongomani wanapenda sana fashion
 
Romelu Lukaku alifunga mabao mawili kabla ya penalty ya Marcus Rashford iliotolewa kwa mfumo wa VAR kuchangia ufanisi huo wa United katika mabao waliofunga kwenye mechi za nje kwa gharama ya PSG.
raha ya VAR iwe upande wako kila siku lakini siku itakayokugeuzia kibao ndipo utakapofahamu machungu ya VAR kuliko chloroquine
 
kuna vumbi la Congo na vumbi la UjingaView attachment 1040282

These women in the Republic of the Congo spend $3,000 on a suit when they do not even have running water, and go without food in order to save up for the right designer accessories.

huyu wa kati ni meeeee au keeeeee.

kwa kutumia picha hapo juu tafuta wife material.
(marks 20)
Wife matirio ni huyo wa toroli hapo

Wakatikati ni Me
 
Back
Top Bottom