Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1551963881725.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna vumbi la Congo na vumbi la Ujinga
1551972391411.png


These women in the Republic of the Congo spend $3,000 on a suit when they do not even have running water, and go without food in order to save up for the right designer accessories.

huyu wa kati ni meeeee au keeeeee.

kwa kutumia picha hapo juu tafuta wife material.
(marks 20)
 
kuna vumbi la Congo na vumbi la UjingaView attachment 1040282

These women in the Republic of the Congo spend $3,000 on a suit when they do not even have running water, and go without food in order to save up for the right designer accessories.

huyu wa kati ni meeeee au keeeeee.

kwa kutumia picha hapo juu tafuta wife material.
(marks 20)

Tatizo liko wapi kamanda? Acha watu wafurahie maisha. Running water pengine siyo kipaumbele chao. Na chakula nadhani wanakula vizuri tu kwa sababu wanang'ara kweli kweli...[emoji16][emoji16][emoji16]

Juzi juzi hapa nilifanya kazi na NGO moja. Wanakuja kuchimba visima vya maji vijijini Shinyanga, Singida na Manyara. Niliwaambia kwamba hakikisheni kwanza mnaongea na walengwa wa misaada yenu na msichukulie tu kuwa wanahitaji hayo mabomba yenu. Ni muhimu sana kuelewa utamaduni wa watu na historia yao kabla ya kuwahukumu na hata kukimbilia "kuwasaidia"
 
Kaimu meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer ameiongoza klabu hiyo kuingia katika robo fainali za ligi kuu ya mabingwa Ulaya katika usiku uliokuwa na msisimko mkubwa huko Paris na baadaye akatangaza: "Hichi ndichi tunachokifanya.
 
Back
Top Bottom