moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
.Kila nikiomba kuunganishwa kwenye jukwaa la wakubwa Invisible wala hanijibu. Mliounganishwa mlifanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
.Kila nikiomba kuunganishwa kwenye jukwaa la wakubwa Invisible wala hanijibu. Mliounganishwa mlifanyaje?
.Doh..hadi nataka kujipa like mwenyew...hapa nipo nacheka mwenyew,huu uzi hautamuach mtu salama kwakweeliii.
Dooh, utashiba kweli?Huku swafii, Mungu mwema ndo napata lunch hapaView attachment 524970
Alafu Unakuta Baba yangu nayeye yumo humu anacheza michezo Ya kitoto [emoji23][emoji23][emoji23]
Atie Likes nimtie likes Ubaba mwisho Nyumbani jf kila mtu mkuu
Umenifanya nicheke kwa nguvu[emoji23] [emoji23]
Yumo umu Namtia likes Kwa kasi kweli
Naanavyo zipenda tia Nije Nikutie Likes
.Huu uzi umepanda lifti ase...
Afu kuna watu,wanatakiwa kuchenjuliwa humu ngoja kijengwe kiwanda tutoe kinikia moja kw serikali wachenjue..
.Fifa world cup, 1974 West germany. The historical final of terrorist
Ushindwe na ulegee [emoji16][emoji16][emoji16]