Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maskini Kibonde leo ndo usiku wake wa kwanza kulala kaburini peke yake. Alikuwa akilala kitandani ila leo atalala kaburini dah! maisha haya! Mungu atusamehe tu.

Je wajua kuwa na wewe ipo siku utalala kaburini badala ya kitandani? Hebu Jitafakari unawatendea watu mazuri au mabaya? haya shime chukua hatua anza kutubu sasa. Kaa ukijua kua ipo siku na wewe utalala kaburini peke yako kama unavyolala hapo kitandani kwako.
 
Maskini Kibonde leo ndo usiku wake wa kwanza kulala kaburini peke yake. Alikuwa akilala kitandani ila leo atalala kaburini dah! maisha haya! Mungu atusamehe tu.
Ndo imetoka hiyo. Majumba, magari, pesa, mademu, watoto...vyote tutaviacha. Cha muhimu ni kujaribu kuishi maisha yampendezayo Mungu na kutegemea neema yake ili siku tutakapolala tulale kwa amani. Mengine yote ni kujilisha upepo tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…