Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Utoto tu. Mkigombana mnakuja kuanikana hadharani...na nudes zenu juu. Hopeless!!!
Jeneresheni ya sosho midiaUtoto tu. Mkigombana mnakuja kuanikana hadharani...na nudes zenu juu. Hopeless!!!
View attachment 1041612
Have a totally blessed day!
Hovyo kabisaJeneresheni ya sosho midia
Pata malike
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MTU mzima atishiwi nyau ujue........Naona unafukua makaburi ya kwini wetu. Halafu umegundua nini kwenye hayo makaburi? Unafikiri ni kwa nini post zake zina 16 likes lakini za wengine zina 6 au 7 tu?
Homework hiyo nimekupa. Usiipuuzie [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha Uchochezi..conspiracy theoriesNaona unafukua makaburi ya kwini wetu. Halafu umegundua nini kwenye hayo makaburi? Unafikiri ni kwa nini post zake zina 16 likes lakini za wengine zina 6 au 7 tu?
Homework hiyo nimekupa. Usiipuuzie [emoji16][emoji16][emoji16]