moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Aseee, kifo nacho.Ukiangalia sura zao watoto wa Ephraim Kibonde utaona wanawaza vingi sana, huzuni zimewatawala kwani wamepoteza BabaView attachment 1041661
Huyu wa kushoto kopi na babake na wa kulia kopi ya mama.
Wameshakua yatima daaa!!!