Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_1500.JPG
 
Wanasema kuna ajenda ya siri kuangamiza legacy ya watu mashuhuri weusi. Bill Cosby, R. Kelly, M.J na wengine watafuata. Morgan Freeman naona moto umepoa kidogo na pengine atasurvive. Ubaya wa hapa hata wewe Esta ukijitokeza ukasema kuwa fulani ambaye sasa ni mashuhuri aliwahi kukukonyeza mpaka ukajifeel uncomfortable ulipokuwa fomu foo Bwiru Girls Sec basi hiyo inatosha. Yaani mtu anaweza kufukuzwa kazi na kuharibiwa maisha hivi hivi tu kirahisi. Na hii imechangia sana kwa KaYego kuwa kaoga. Hali siyo shwari !!!

Hahaa, uoga muhimu aisee! Unaweza kusingiziwa kuwa ulimshika ka msambwanda wakati mko Kindergarten! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom