Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

nandi_madida___Bp1IxgYHrsv___.jpg
 
Bro broo hivi uzi mzima tukiwekwa ignoa list nani atatutetea kama anko kipind kile
Ndiyo maana nawaonya muwe keafu. Mimi iginoa listi nilishazoea. Sasa nipo nachezea mbili au tatu hivi. Ile ya yule jamaa mwenye mapovu ya kisiasa na nyingine nahisi nimeikwaa hapa juzi juzi kivivu vivu tu japo sina uhakika ([emoji706][emoji706][emoji706])...

Anko atapatanisha mpaka achoke indeed wallahi. Ndiyo maana namsisitiza awe keafu mpatanishi naye asije akawa mpatanishwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom