Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MATUKIO YA PICHA :Junior Kibonde mtoto mkubwa wa Ephrahim akimfariji mdogo wake Illaria ambaye ndiye kziwanda wa Ephrahim...!
52832681_549996348827660_7630166524662429230_n.jpg
 
Ni njia ya kila mmoja hiyo.
"Hakika ya KIFO yafaa kuwa MAWAIDHA (Ukumbusho) kwenu"- Mtume Muhammad "saw"
Maskini Kibonde leo ndo usiku wake wa kwanza kulala kaburini peke yake. Alikuwa akilala kitandani ila leo atalala kaburini dah! maisha haya! Mungu atusamehe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je wajua kuwa na wewe ipo siku utalala kaburini badala ya kitandani? Hebu Jitafakari unawatendea watu mazuri au mabaya? haya shime chukua hatua anza kutubu sasa. Kaa ukijua kua ipo siku na wewe utalala kaburini peke yako kama unavyolala hapo kitandani kwako.
"Kul nafsi dhalkatul mauwt"
Kila nafsi itaonja kifo- Qur'an

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo imetoka hiyo. Majumba, magari, pesa, mademu, watoto...vyote tutaviacha. Cha muhimu ni kujaribu kuishi maisha yampendezayo Mungu na kutegemea neema yake ili siku tutakapolala tulale kwa amani. Mengine yote ni kujilisha upepo tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hakika...muda siyo mrefu atasahaulika kabisa na maisha yataendelea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom