Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Brazil
FB_IMG_1552155628212.jpeg
 
Na mimi ngoja nimuweke kwa wiki moja nitesti zali. Halafu Esta hajui tu alivyonibadilisha. Nilipokuja JF nilikuwa mwoga balaa. Nikitukanwa nilikuwa naumia na kumind balaa. Nilipojifunza kutoka kwake na kumfanya kuwa rolo modo aisee maisha yamebadilika sana. Siku hizi mtu akinitukana ama nampotezea au tunaingia kwenye ligi na mambo yanaishia hapo. Na skill hii inafanya kazi vizuri sana hata huku mitaani. Cha muhimu tu ni kuchagua mapambano kwa uangalifu. Thanks Esta. You real changed me [emoji122][emoji122][emoji122]
Awesome
 
Famlia na marafiki wanasubiri taarifa mjini Nairobi kuhusu hatma ya wapendwa wao waliokua wamesafiri kwa ndege ya Ethiopia iliyopata ajali leo jumapili asubuhi.
Ndege hiyo ilitarajiwa kuwasili mjini Naorobi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo kanyatta saa nne unusu kwa saa za Afrika Mashariki.
 
Taarifa ya Kampuni ya ndege ya Ethiopian Airlines imesema abiria kutoka nchi 33 waliosafiri kwenye ndege iliyopata ajali wote wamekufa, kulingana na Msemaji wa Kampuni hiyo Asrat Begashaw.
Ndege ya kampuni ya Ethiopia aina ya Boeing 737 iliyokuwa ikisafiri kutoka Adis Ababa kuelekea Nairobi imeanguka Jumapili asubuhi.
 
Taarifa ya Shirika la ndege la Ethiopia- Ethiopian Airlines inasema walipoteza mawasiliano na ndege iliyopata ajali dakika sita baada ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Adi Ababa.
Takriban wasafiri 149 na wahudumu wanane waliokuwemo ndani ya ndege hiyo hakuna hata mmoja aliyeweza kunusurika na wote wamekufa, aliliambia shirika la habari la kitaifa la Ethiopia msemaji wa Ethiopian Airlines.
 
Waathiriwa ni akina nani?
Mkurugenzi mtendaji wa Ethiopian Airlines CEO Tewolde Gebremariam ameuambia mkutano wa waandishi wa habari kwamba miongoni mwa waliokuwemo kwenye ndege hiyo ni pamoja na :
Wakenya32 Kenyans, raia wa Canada 18 raia tisa wa Ethiopia , wataliano wanane , Wachina wanane, wamarekani wanane , waingereza saba , Wafaransa saba , Wamisri sita, Wajerumani watano , Wahindi wanne na wanne kutoka Slovakia.
 
''Kasi haikuwa thabiti''
Kituo cha ufuatiliaji wa safari za ndege kwa kwa saa 24 imekuwa kikitoa taarifa kwneye ukurasa wake wa twitter juu ya ajali ya ndge ya Ethiopian Airlines.
Kimesema kuwa kilibaini kuwa " kasi ya ndge hiyo ya wima haikuwa thabiti baada ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege ".
Ndege hiyo ambayo ilitarajiwa Nairobi iliondoka kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole mjini Addis Ababa saa 8:38 asubuhi kwa saa za Ethipia lakini ikapoteza mawasiliano majira ya saa 8:44 asubuhi kwa saa za Ehiopia.
 
Back
Top Bottom