The mighty anacondaKiumbe Adhimu ndani ya mito,vijito, mabwawa, kwenye msitu maarufu wa AMAZON View attachment 1042501
AwesomeNa mimi ngoja nimuweke kwa wiki moja nitesti zali. Halafu Esta hajui tu alivyonibadilisha. Nilipokuja JF nilikuwa mwoga balaa. Nikitukanwa nilikuwa naumia na kumind balaa. Nilipojifunza kutoka kwake na kumfanya kuwa rolo modo aisee maisha yamebadilika sana. Siku hizi mtu akinitukana ama nampotezea au tunaingia kwenye ligi na mambo yanaishia hapo. Na skill hii inafanya kazi vizuri sana hata huku mitaani. Cha muhimu tu ni kuchagua mapambano kwa uangalifu. Thanks Esta. You real changed me [emoji122][emoji122][emoji122]