Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jamaaan wengine hatujawahi kuyapanda ujueeeHaya madude huwa nayapanda tu kwa vile sina namna. Sipendi kabisa usafiri wa ndege!
Jamaaan wengine hatujawahi kuyapanda ujueeeHaya madude huwa nayapanda tu kwa vile sina namna. Sipendi kabisa usafiri wa ndege!
Jamaaan wengine hatujawahi kuyapanda ujueee
Embu acha hizo Basi!
Aseee, warembo wametangulia mbele ya haki.Wapumzike kwa amani. Kifo cha ghafla kisicho na maumivu wala kuteseka [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1042571
[emoji16][emoji16]Ukute haujitambui ila maajabu moto huoo mkali wanazinduka na kuungua huku wanajitambua. Hatari sana
Ni usafiri salama na wa haraka lakini kukiwa na mushkheri hakuna cha msalie mtume. Hovyo kabisa.Haya madude huwa nayapanda tu kwa vile sina namna. Sipendi kabisa usafiri wa ndege!
Ndege yenyewe ikijipigiza inatawanyika kama tikiti maji sembuse nyie wenye nyama na damu? Haya mambo yaani we acha tu [emoji16][emoji16][emoji16]Ukute haujitambui ila maajabu moto huoo mkali wanazinduka na kuungua huku wanajitambua. Hatari sana
Hali ikiwa hivi leo hata kelele zitapungua humu. Mi nasema na wapigweeeee !!!Leo Arsenal wamecharuka, daah!
Hongera kwa ushindi na ubashiriHali ikiwa hivi leo hata kelele zitapungua humu. Mi nasema na wapigweeeee !!!
1. Goal - XHAKA
Assist - LACAZETTE
Arsenal 1-0 Man Utd (12 mins)
2. Goal - AUBAMEYANG
Assist - LACAZETTE
Arsenal 2-0 Man Utd (69 mins)
Hawa jamaa makelele mengi sana. Tumechoka na stori za Ole Gunner hivi Ole Gunner vile. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Na wapigweeeeeee !!![emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji443][emoji443][emoji443]