Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo unaamini wale mademu wote wenye misambwanda unaotumaga humu wana watoto majinius?
Na wenyewe watakuwa na exceptions ya kuzaa vilaza hapa na pale ila, kama utafiti huo wa Oxford ni sahihi, significant number watakuwa na watoto ambao ni vipanga.

Sayansi iko wazi na matokeo yake yanaweza kuwa replicated na ye yote hata wewe ukiamua ali mradi tu utumie nidhamu ya kisayansi. Oxford siyo TWAWEZA [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…