Si kweli .tena hawa ndio waliteseka sana enzi za utumwa so sad akina sancho wameamua kufata kile kile cha enzi za utumwa kilichobadilika wao wanafanya kwa hiari yao.Karibu kwenye chama poti...achana na vimbaumbau. Havina dili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1042660
View attachment 1042657
View attachment 1042659
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wabhejaaaPoleeee! [emoji1]
Si kweliExceptions (Vighairi). Unajua wako wangapi? Bilioni 1+ kutoa majiniazi hapa na pale haishangazi. Na heshima ya msambwanda inabakia pale pale [emoji16][emoji16][emoji16]
Tatizo lenu mnachanganya mambo. Ujiniazi wa mtoto unapimwaje? Msichanganye innate capacity na effect za mazingira. Afrika hii hata ukizaliwa jiniazi utafika wapi? Kujichanuza (realization) kwa ujiniazi kunategemea mazingira uliyomo. Unafikiri Albert Einstein angezaliwa Simiyu au Mwakaleli angefika wapi? Je, bado angebakia kuwa jiniazi ama la? Acheni kuchanganya madesa please...na misamwanda hoyeee!!!Ukweli ni kwamba akili haitoki kwenye tako. Just imagine wakorea wamepigwa pasi balaa ila wanatuzidi kila kitu. Waafrika tumekalia kudanganyana tako ni akili
Esta. Unachanganya madesa balaa. Hata sijui nianzie wapi kukuelewesha.Si kweli .tena hawa ndio waliteseka sana enzi za utumwa so sad akina sancho wameamua kufata kile kile cha enzi za utumwa kilichobadilika wao wanafanya kwa hiari yao.
Yupi mwenye tako anayetingisha dunia kwa ujiniasi?
Tatizo lenu mnachanganya mambo. Ujiniazi wa mtoto unapimwaje? Msichanganye innate capacity na effect za mazingira. Afrika hii hata ukizaliwa jiniazi utafika wapi? Kujichanuza (realization) kwa ujiniazi kunategemea mazingira uliyomo. Unafikiri Albert Einstein angezaliwa Simiyu au Mwakaleli angefika wapi? Je, bado angebakia kuwa jiniazi ama la? Acheni kuchanganya madesa please...na misamwanda hoyeee!!!
GEOGRAPHY IS A DESTINATION
Kweli tupu. Kuupinga utafiti wa kisayansi tena wa chuo kikuu chenye hadhi kama Oxford inabidi nawe ufanye utafiti mwingine kinzani ohoo !!!Si kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣 Tuwekee nyuz bwana..hivyohivyo huku unatafuna ndimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku koromije akija mzungu na akasema kitu watu wanaamini kisa muzungu kasema hata kama ni mashudu. Bro atleast upo nao huko njooo na maarifa mapya sio haya haya ya kila siku tuliyonayo hukuKweli tupu. Kuupinga utafiti wa kisayansi tena wa chuo kikuu chenye hadhi kama Oxford inabidi nawe ufanye utafiti mwingine kinzani ohoo !!!