Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Uko sahihi kabisaSijachanganya tatizo unapadharau simiyu na mwakaleli ukiweka kando hizo hisia utagundua hoja dhaifu ya misambwax na akili.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] R.kelly katoka zao la misabwax
Uko sahihi kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku koromije akija mzungu na akasema kitu watu wanaamini kisa muzungu kasema hata kama ni mashudu. Bro atleast upo nao huko njooo na maarifa mapya sio haya haya ya kila siku tuliyonayo huku
Labda ni man made [emoji16][emoji16][emoji16]Anzia kwa mtoto wa kajala. Tako la kajala limemsaidiaje kupata ile four tena kwa shule ya million 4 kwa mwaka
Pole sana ukipenda chongo unaita kengeza ..Sample size haina shida ali mradi tu iwe representative ya population inayofanyiwa uchunguzi. Limitations zinaweza kuelezeka na kwa kawaida huwa zinafuatiliwa kwa utafiti mwingine ambao unapanua mawanda ya utafiti mama. Utafiti unaofuatia, kwa mfano, unaweza kuangalia kama mazingira na hata socio-economic status ya walengwa vina effect yo yote kwa ujiniazi wa watoto.
Please leave this well done research about Misambwax alone [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani kaka wewe nikikuuliza umbo lako utasema?Vipi dada kwani hauna hilo dude?[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Ai givapu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Pole sana ukipenda chongo unaita kengeza ..
Yaani sample size haina shida kwenye research kama hii?
Kwa hiyo waafrika ndio majiniasi kuliko mataifa mengine ambayo majority Asians, caucasians etc hawana midude?