Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nadharia kuhusu maradhi ya mshituko utokanao na matukio
Daktari Jelena Ghadri na wenzake katika chuo kikuu cha Hospitali ya Zurich alichunguza kile kilichokuwa kukutokea katika ubongo wa wagonjwa 15 wenye hali ya mshituko wa damu utokanao na matukio.
 
Bado jibu kamili halijapatikana, kwa hiyo kazi kubwa inahitajika kufanyika: Makovu ya mgonjwa ya ubongo ya kabla au wakati yanaposababisha maradhi ya mshituko utokanao ya matukio ya kimaisha hayakupatikana, kwa hiyo watafiti hawawezi kufahamu iwapo kupungua kwa mawasiliano baina ya maeneo ya ubongo kulisababisha matatizo ya moyo ya takotsubo au kinyume chake.
 
Joel Rose, mkurugenzi mkuu wa taasisi ya magonjwa ya moyo nchini Uingereza ,alisema: " Hii ni sehemu muhimu ya utafiti ambayo itasaidia katika mwongozo wa uelewa wetu wa aina ya matatizo ya afya ya moyo ambayo kwa kawaida yanasahaulika na kubakia kutoeleweka.
 
Muasisi wa Wakfu wa utafiti wa tiba ya moyo nchini Uingereza Prof Dana Dawson, kutoka Chuo kikuu cha Aberdeen, amesema "Matokeo haya yanaunga mkono kitu ambacho kwa muda mrefu tumekuwa tukikishuku - kwamba kuna mawasiliano kati ya moyo na ubongo katika kusababisha maradhi ya takotsubo
 
Sijachanganya tatizo unapadharau simiyu na mwakaleli ukiweka kando hizo hisia utagundua hoja dhaifu ya misambwax na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…