Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uko sahihi kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pole sana ukipenda chongo unaita kengeza ..
Yaani sample size haina shida kwenye research kama hii?

Kwa hiyo waafrika ndio majiniasi kuliko mataifa mengine ambayo majority Asians, caucasians etc hawana midude?
 
Ai givapu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…