Imagine chui anakutembelea huko juu, then what? Ila kwa vile ni mazingira yao utakuta wana ujanja wa kuzuia wanyama wakali wasiwafikie huko juu.
Naije brother??
Safi bro,Tunamshukuru Mungu,kwema huko?
Naije brother??
Kwema huko?
Ndege zitakuwa na matatizo ya kiufundi hizi. Haiwezekani ndege mpya kabisa ziwe zinadondoka tu kutoka angani hovyo hovyo.China imesimamisha mashirika yake ya ndani kutumia ndege aina ya Boeing 737 Max 8 kufuatia ajali mbili za ndege hiyo zilizotokea Ethiopia na Indonesia.