Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455923352_96802.jpeg
 
Niko bomba Mkuu, vipi weye? Ila ile snap ya viuongo vya binadamu toka tumboni kwa mamba ni hatari tupu.
Mkuu vijiji vilivyozungukwa na maziwa makubwa, mito mikubwa, mbuga na mapori ya Akiba yana changamoto nyingi, hasa ya Mamba na nyoka wakali.
Hata hivyo kama picha hujaipenda uwe na subra bro ni katika hali ya kuburudishana na kukumbuka vitu, maana mengi tunayoambizana hapa siyo mageni kwetu, mengi sote twayajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom