Kweli nikupost chochote upate likes [emoji23][emoji23]Hao unaowasema kuwa huwa wanapost nonsense si ajabu na wao wanakusema kuwa wewe ndiyo huwa unapost nonsense. Haya mambo ni kuvumiliana tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndege zitakuwa na matatizo ya kiufundi hizi. Haiwezekani ndege mpya kabisa ziwe zinadondoka tu kutoka angani hovyo hovyo.
Mpaka stock zao tayari zimeanza kuporomoka. Mamilioni ya lawsuits lazima watalipa...Boeing are in deep trouble!
Karibu tuburudike tu mkuu. Nothing serious hapa kwenye chit chat.Kweli nikupost chochote upate likes [emoji23][emoji23]
Nilinunue kwa ajili ya guacamole kutia kwenye maharage yangu halafu nikute umelisiriba kwenye nywele. Mbona patachimbika?Zuri kwa afya ya nywele
Wapi mkuu?Huko vipi, fursa kwa kila mmoja au mpaka uwe na kadi ya chama furani ?
Sent using Jamii Forums mobile app