Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Ulikuwa wapi kipindi twajifunza kupiga mbizi??? Hii ingekusaidia.
Uzuri wa hawa wenzetu ajali hizi ni lab tosha. Watagundua tatizo na watalirekebisha. Tayari wanasema ama ni speed sensors au hiyo auto system yao ya kuhakikisha ndege hai-stall. Marubani wengi hawajui ikiwa on/off na inaonekana inafanya kazi counterintuitively. Inaonekana they overdid it. Discovery channel hapa walikuwa wanajadili na hiyo system inafanya kazi kinyume kabisa na vile ambavyo rubani atakuwa anailazimisha ndege kufanya akiona speed haziko sawa.

Kwa sasa hata mimi siwezi kupanda. Afadhali nipige mguu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
455920425_96744.jpeg
 
Back
Top Bottom