Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ronaldo anasalia katika nafasi ya kuongeza ushindi wake wa mara kadhaa wa taji la Champions League- Ni nyota wa zamani wa Real Madrid Francisco Gento, ambaye ameshinda vikombe vingi Ulaya.
 
Ilikuwa usiku maalum kwa timu yetu bila na bila shaka imekuwa hivyo .
"Ari hii inahitajika ili kushinda Champions League. Tulifurahia mchezo wetu. Atletico ilikuwa timu kali lakini sisi pia tulikuwa imara. Tunasubiri kuona kile kitakachofanyika."
 
Rio Ferdinand, mchezaji wa mwenza wa Ronaldo walipokuwa pamoja Manchester United, ameiambia BT Sport: "Cristiano atasalia kuwa 'mbabe' wa soka kile alichofanya ni kitu cha kushangaza.
 
20190313_075122.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom