myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku uwe mwema kwetu
[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna watu wenye kelele kama mashabiki wa Man united na CR7[emoji23][emoji23]
So sad. Wapo wanaokopa nauli,nguo etc ili tu kufanikisha usajili akiwa na matumaini ya ajiraNdio ukweli wenyewe huu Esta,,wengine mnakuwepo tu kusindikiza na kuonesha kuwa waajiri wanafata na kutii sheria za kazi za maswala ya kuajiri/kutangaza nafas za kaz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo tabia yake kuiokoa timu ikiwa hali mbaya ili apate miujiko kama yote
Poa,Niko poa kabisa. Yaani CR7 ni full shangweHahaha...
Na jana amepata ujiko wa kutosha,,
Mambo vp?upo poa ww??
Pambana tu, wanaajiri watu na si malaikaTRA si kwa mtihan ule au mmeanza kuajiri Aliens? kwa akili zetu za ku-bet na kuvukia kwenye zebra crossing ajira TRA tusahau.
Wapi Kazimzumbwi forest?
[emoji818][emoji818]
Isubiri tu italetwa hapahapaWapi Kazimzumbwi forest?
Wewe acha tu Numbisa,,yote haya ni Maisha.So sad. Wapo wanaokopa nauli,nguo etc ili tu kufanikisha usajili akiwa na matumaini ya ajira
Acha ashangilie aisee,,Poa,Niko poa kabisa. Yaani CR7 ni full shangwe
Za ulipo?wifi hajambo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Si nilijua tu utakwepa swali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha ashangilie aisee,,
Huku salama kabsa,bado namtafuta bhana
Kilichokuchekesha nini sasa Numbisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ashangilie aisee,,
Huku salama kabsa,bado namtafuta bhana
Kilichokuchekesha nini sasa Numbisa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana bhana,michembe ipo??Anashangilia kwa mengi maana real madrid walikua wanasubiria kwa hamu juve watolewe ili wamzodoe ronaldo