Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nia & Company
FB_IMG_1552502593866.jpeg
 
Unachoweza kufanya, naweza kukifanya vyema zaidi.
Usiku baada ya Cristiano Ronaldo kutinga hat-trick kuchangia ushindi wa Juventus dhidi ya Atletico Madrid na kufuzu kwa robo fainali katika ligi kuu ya mbingwa, hasimu wake wa jadi Lionel Messi amefuata mkondo kwa machango mkubwa ulioipa ushindi Barcelona dhidi ya Lyon kwa mabao 5-1.
Chating ya Ronald na Evra muda mchache kabla ya game yao na Atletco
IMG_20190314_164149.jpeg
 
Back
Top Bottom