Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Like ni kama pesa,
Hapa like zinapatikana kwa wingi kama mwongozo unavyosema tu!
Ndo maana nasema pesa ni pesa hakuna pesa ya mwalimu, ya mwizi, ya mchungaji, ya tapeli nk.
Hapa ni like kwa neno lolote bila kujali lina mantiki au mafunzo yapi!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahahaha likes tu
 
Back
Top Bottom