Lionel Messi amemwagia sifa Cristiano Ronaldo baada ya kuonyesha kiwango cha juu na kuisaidia Juventus kufuzu kwa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Messi baada ya kuonyesha kiwango cha juu dhidi ya Lyon na kufunga mabao mawili katika ushindi wa Barcelona wa mabao 5-1, alisema alichokifanya Ronaldo ni kitu cha kipekee.