We ni mshamba, kuishi home inawezekana kama strategy ya ku save costs pia. Yani home upanga kazini posta kisha nikapange Sinza? Does that count or make sense?
Pelekesha ujinga wako huko!
Kama hamna sababu sioni haja bado, as long as hela ziko bank nikitaka kujenga anytime najenga tu. Viwanja vipo so ni swala la maamuzi tu!Inawezekana ila si solid reason ya wewe kukaa kwenu.unasave for what?? Angesave babako ungekua unaishi kwa babu yako kijijini.jiongeze kijana unafeli
Write your reply...
ndo maana wakoloni walisema tamaduni za kiafrika ni za kishenzi,wanawake wa tz(labda na afrika kiujumla) ni wasiojitambua wao ukiwaweka pamoja na familia yako basi ni lazima watagombana yaani sijui ni roho mbaya ama nini,utakuta anagombana na wifi zake,anagombana na mama mkwe yaani kila siku utakuwa unaamulia ugomvi
lakini ni tofauti kwa jamii za wenzetu mf.wa-asia,baadhi ya whites n.k wao huishi kifamilia zaidi ktk mji wa baba zao na familia zao,hata vitega uchumi vyao hufanya kwa pamoja,chakula hula pamoja hasa cha jioni,hujadiliana na kufanya maamuzi pamoja
yaani kuishi pamoja kifamilia ni raha sana hakuna mfano,huzidisha upendo na umoja kama familia
Kama hamna sababu sioni haja bado, as long as hela ziko bank nikitaka kujenga anytime najenga tu. Viwanja vipo so ni swala la maamuzi tu!
Baba alijenga mjini ili kizazi kihamie mjini na ni baada ya kuwa na mke wake na watoto. Sasa mie sina mke nijenge namjengea nani usawa huu! Mda ukifika nitajenga kwangu.
NikioaWakati sahihi wakujenga ni upi??
Utakua mpemba wewe si bure,kama vyombo vinagongana kabatini itakua mke na wakwe