Kazi kweli kweliNumbisa atakuw na hli mbaya sana!!
Kapoteza game zote, Yanga na United kote maumivu!!
Kwema mzee baba?? Naona shangwe kama lote vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaHahaah..
Ndani ya week mbili hizi mpira wa miguu umekua na matokeo ya ajabu ajabu tu AGHAAAAAHHH!!!
Huu upepo ukiendelea basi Man U uso kwa uso na UEFA
Hahaha jana ilibidi niwatie block wanazi wa Msimbazi maana simu zilikuwa nyingi sana..Karibuni tufurahie ushindi ndugu zangu[emoji16][emoji16][emoji16].
Wapi ningendako
Hahaha aisee,jana ilikuwa siku mbaya sana,,City kaponea chupuchupuHahahah poa mkuu ila sio mbaya nikikupa matokeo yao
#Wolves 2 vs 😱 Man U
Hahaha nilijua tu,,ndio maana nikapiga kimya kidogoDuuu, poleni.
Wapi ningendako
Natamani Final nikutane na Man U
View attachment 1047316
Hahahah anko bhana,siku nyingine nitakustua mapema ankoo,,tatzo una misamiati migumu hapo kwenye mkungu wa kunyorishia umeniacha hewani ankoo[emoji2][emoji2]Ningejua mapema ningekushtua nipate hata mkungu wa 'kunyorishia' tauni...
Hahaha hawa jamaa bado siamini kwa kilichotokea,,,Jirani hongera ile comeback imenichosha,
Nililala nikijua mmekalia msumari wa moto!!
Duh,,kumbe,,hapa hata nilikuwa sielewi naona nyota nyota tuGood afternoon to you..naona vijana mnaokaa nyumbani mmeunganishiwa uzi
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].Hahaha jana ilibidi niwatie block wanazi wa Msimbazi maana simu zilikuwa nyingi sana..
Hongereni sana watani,kila la kheri kwenye hatua inayofata
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].
Pole kwa matukio ya Iringa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha nilijua tu,,ndio maana nikapiga kimya kidogo
Hahaha, after 45 years Finally.Kwema mzee baba?? Naona shangwe kama lote vile
Hahah hongereni aiseeHahaha, after 45 years Finally.
Hahaha mimi nimefurahia tu jinsi Yanga walivyokuwa wapoleHahah hongereni aisee
Hahaha ni kweli kabsa,tumekosa cha kuongea mzeeHahaha mimi nimefurahia tu jinsi Yanga walivyokuwa wapole
Hatari sana. Mpira kuna saa inaumiza balaa mpaka kuna kujuta kwanni kujiweka ulimwengu wa soka