Wakati mashabiki wakisubiri uthibitisho, nyota huyo mwenye umri wa miaka 32 hatarajiwi kujiunga na wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Uruguay kwa ajili ya majukumu ya kimataifa.
Barcelona wataenda Old Trafford kwa mechi yao ya kwanza ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya United Aprili 10 kabla ya kurudiana siku sita baadaye Nou Camp.
Kikosi cha Barca tayari kitamkosa winga Ousmane Dembele kwa mechi zote mbili dhidi ya Man United baada ya naye kuchanika nyama za nyuma ya paja katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Lyon wiki iliyopita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.