Lakini hivi karibu wameanza kupata majibu mengine ingwa mpaka sasa hayajawapa majibu ya moja kwa moja kuwa hicho ndicho chanzo, baada ya kugundua kuwa maradhi hayo yametokana na hewa ya carbon monoxide na hydrocarbons zinazozalishwa kwenye shughuli za migodi, na kutaka wanakijiji kuhama kabisa eneo hilo, ingawa na lenyewe lipo kwenye uangalizi kama kweli ndio chanzo sahihi cha tatizo hilo.