myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku uwe mwema kwetu wooote
Hasahauliki[emoji23][emoji23]First Man
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akitokea MGANGA yeyote na akasema kwamba kutulia kwenye NDOA kunaongeza NGUVU za kiume Amini nawaambieni NDOA zitadumu kama nyumba za Makumbusho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀 Kwani bado ipo hiyo kwenye ulimwengu wa sasa?Hasahauliki[emoji23][emoji23]
[emoji818][emoji818][emoji818]Love is blind but marriage is a real eye-opener
Kweli..4. The Devils Kettle In Minnesota
Haya ni maajabu mengine yaliyopo nchini Marekani katika jimbo la Minesotta, ambapo kuna water fall imepewa jina la 'Devils kettle', maporomoko haya ya maajabu yana sehemu mbili za kumwaga maji, sehemu ya kwanza, maji yake yanakwenda katika mto blue, lakini mengine yanaaagukia kwenye shimo lililopo kwenye miamba, lakini cha ajabu maji hayo hupotelea hapo, bila kujua yanaelekea wapi. Wanasayansi wamefanya uchunguzi wao kuangalia huenda kuna sehemu yanatiririkia lakini hawajagundua kitu chochote mpaka sasa, na kubaki kuwa tatizo lililokosa ufumbuzi