4. The Devils Kettle In Minnesota
Haya ni maajabu mengine yaliyopo nchini Marekani katika jimbo la Minesotta, ambapo kuna water fall imepewa jina la 'Devils kettle', maporomoko haya ya maajabu yana sehemu mbili za kumwaga maji, sehemu ya kwanza, maji yake yanakwenda katika mto blue, lakini mengine yanaaagukia kwenye shimo lililopo kwenye miamba, lakini cha ajabu maji hayo hupotelea hapo, bila kujua yanaelekea wapi. Wanasayansi wamefanya uchunguzi wao kuangalia huenda kuna sehemu yanatiririkia lakini hawajagundua kitu chochote mpaka sasa, na kubaki kuwa tatizo lililokosa ufumbuzi