Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

45826498_2465640520119115_5115803246416997678_n.jpg
 
Hamna mkate mgumu mbele ya chai moto

Upo bana. Kama umekulia mitaa ya Uhindini, kuna mikate yao dizaini hivi. Ni migumu hata chai moto haiyeyushi. Muulize moudgulf: kuna duka moja la
Mzee fulani pale Jamhuri street, sijui kama bado lipo kwani sijapita mitaa hiyo mda sasa. Lilikuwa linauza mikate migumu balaa! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
🤣🤣🤣🤣 Dah...
 
Back
Top Bottom