Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
AminUsiku uwe mwema kwetu wooote
Ni vema wenyewe walijue hiloSoma hiyooo mrembo unayemnyima mume au BF wako eti unamkomoa
'Tendo la ndoa' humfanya mwanamke kuonekana Mrembo zaidi. Kwani unapofanya tendo la kiwango cha Estrojen huongezeka na kupelekea nywele pamoja na ngozi kuwa nyororo maradufu
Tanzania yetu[emoji445][emoji441]
Dada mashavu yake mazuri[emoji16][emoji16][emoji16]
Bado lipo, ila mikate imebadirika ..Upo bana. Kama umekulia mitaa ya Uhindini, kuna mikate yao dizaini hivi. Ni migumu hata chai moto haiyeyushi. Muulize moudgulf: kuna duka moja la
Mzee fulani pale Jamhuri street, sijui kama bado lipo kwani sijapita mitaa hiyo mda sasa. Lilikuwa linauza mikate migumu balaa! [emoji1][emoji1][emoji1]
Kumbuka hiyo jiraniUpo bana. Kama umekulia mitaa ya Uhindini, kuna mikate yao dizaini hivi. Ni migumu hata chai moto haiyeyushi. Muulize moudgulf: kuna duka moja la
Mzee fulani pale Jamhuri street, sijui kama bado lipo kwani sijapita mitaa hiyo mda sasa. Lilikuwa linauza mikate migumu balaa! [emoji1][emoji1][emoji1]
Natafuta kadi ya uanachama bado, kwani unateseka?πππMgumu wewe eee?
Kumbuka hiyo jirani View attachment 1051640View attachment 1051642
Sent using Jamii Forums mobile app