Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezaji wa zamani wa Baltimore Ravens, Haloti Ngata ametangaza kustaafu Ligi ya Taifa ya Mpira wa Miguu wa Kimarekani (NFL), akituma ujumbe kutoka kileleni mwa Mlima Kilimanjaro, baada ya kucheza kwa misimu 13.
 
Nastaafu kucheza NFL nikiwa kileleni,” Ngata, 35, alisema katika ujumbe wake aliouweka katika mtandao wa Instagram ukiambatana na picha yake akiwa juu ya Mlima Kilimanjaro.
 
Akiwa Baltimore alikuwa sehemu ya ngome iliyokuwa inaogopewa.

Ngata, ambaye ana asili ya Tongan, alikulia Utah na pia aling’ara wakati akicheza raga ujanani, akifanya vizuri na timu ya shule ya Highland ya Salt Lake City.
 
20190320_121504.jpg
 
Back
Top Bottom